Alternative version of Baba Yetu from album Calling All Dawns. All credit to the artists in the production of this song, in which I had no part.
Language: Swahili (Kiswahili)
See below for lyrics:
CHORUS
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina!
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, mwovu we milele!
CHORUS
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
CHORUS
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
10 years ago
10 years ago
10 years ago
10 years ago
10 years ago
10 years ago
10 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
11 years ago
12 years ago
12 years ago
12 years ago
12 years ago
12 years ago