CheckBob Feat. Mesen Selekta - Njoo video free download


10,781
Duration: 04:47
Uploaded: 2015/03/28

CheckBob ni msanii mkali anayekuja kwa kasi katika anga la muziki wa Bongo Fleva aja na track yake kali inayokwenda kwa jina la 'NJOO' na hii ndio video yake imefanywa na director mkali kutoka Kokwa Production.

Comments

8 years ago

fanuel masatu

TBH I PLAYED IT 8 TIMEN ON A ROW .. MESEEEEN KAMA HAUJASHIRIKISHWA

8 years ago

Elia Odhiambo

Ngoma kali sana broo...endelea kukaza,mensen kama kawaida kafanya yake,beat kali na chorus kapiga fresh sana...sema kideo hakijasimama sana na hakijakidhi mahitaji ya soko la mziki wa sasa...take it as a challenge to do better brother

Related Videos