Dogo Janja ft Chege - Siri zao( www.eastafricanhit.com) video free download


48,850
Duration: 04:59
Uploaded: 2012/06/12

For more videos visit: www.eastafricanhit.com

Comments

8 years ago

Samra Luis

Dogo ni shidaaaaa

11 years ago

ERQ SON

mambo ni kama hayo..au sio! Dogo Janja akisema hakuna dogo anaye weza chana kama yeye huwa hajakosea...kwa maana hata awepo dogo mwengine aweze chana zaidi yake huwa ni yeye kivyake ila sio kama Dogo Janja. Hii inamana kila mtu ni mtu na utu wake,utu wangu mimi sio utu wako wewe ndio manake kuna mimi,wewe pia na yule! hope mumenipata wangwana! Hongera kwa watanashati!

11 years ago

snazzy Franz

Dogo aisee unazidi kupaa.

11 years ago

nibigira aline

good song dogo janja

11 years ago

kelvin giathi

Napenda sana mziki wa TZ Mna sense sana binamu zetu Dogo ni mwana wa Karne yetu.

11 years ago

Natty Dread

i dont think that this video is new

Related Videos

Dogo Aslay Ft. Temba

Dogo Aslay Ft. Temba - Niwe Nawe