Best Nasso - Nitarudi Morogoro [Official Music Video] скачать видео бесплатно


852,333
Длительность: 03:53
Загружено: 2015/03/25

Комментарии

8 years назад

KANDILA ZYANGALO

Keep it in your user mind

8 years назад

Etux lukanda

Imekuwa bomba sana

8 years назад

antony benzino

uko poa more effort bro sky is the limit kumbuka

8 years назад

Samwel Machimu

Uko njema sana kaka nasso ila tu kuna magugu maji yanakuonea wivu mbona zakwao atuzioni

8 years назад

Rashidi Bakari

Uko njema nakukuba kitambo we jembe ila sielewi mziki waskilizaji wanatumia vigezo gani kummkubali m2 lakini iko ck wataelewa.

8 years назад

Danny Swero

chalii angu unaimba na wewe ni mkali but mbona haufahamiki kwa watu hujaaga nyumbani ka kina diamond

8 years назад

JUSTINE MALLEY

iko poa saaanaa kijana ngoma yako ila tu vidio model wako hana mandhali ya kama mwanakijiji yaani ni mtoto wa mjini kabisa yuko tofaut na mazingira yake

9 years назад

Mwanukuzi De_receiver

kwenye video picha nzuri.....mawazo pia yalikua mazuri....lakini director kachemka kwenye mavazi...location ya video inatuonesha kijijini.....lakini sijaona ata mmoja kati ya hao character mwenye muonekano sawa na location....kama umeamua kufanya video ya kitamaduni basi kila kitu kiende sawa na utamaduni

9 years назад

Double e classic596

hongera sana kaka nasso nakukubali mwana

9 years назад

damiani bonphace

hatar sana wasanii wanaofanya vizur hawavumi ila wanaoleta mbwembwe ndio wanaovuma big up sana bro kaz nzur na inaeleweka

9 years назад

verediana mkabahati

Big respect to Morogoro. I love the song already

9 years назад

Michael Minja

Acha mtoto asome usimrubuni unaifundisha nini jamii,

9 years назад

micmarryed tanzania

video+audio..dizain...kama..Mr.fleva...beb..sawale

9 years назад

Justin Nyamsenda

Kazi nzur video nzur Na Sauti nzur hongera sana mtoto wetu maisha ni Kazi Na Kazi ni Kazi Pamoja sana best Nasso MARA NDO home

Похожие клипы